23.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Rais atangaza kifo cha Cleopa Msuya

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan  ametangaza kifo cha aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa  Rais na...

Viongozi Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Nishati Safi ya Kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika kongamano la kwanza nishati safi ya kupikia la Afrika Mashariki...

Magereza yaipongeza REA kuhamasisha nishati safi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jeshi la Magereza nchini limepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi...

UAE yamtunuku tuzo Rais Samia

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya 'Mother of the Nation Order' kutoka kwa Rais...

Aliyempiga mkwara Padri Kitima kabla ya kushambuliwa akamatwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na kumhoji Frey Edward Cossey ( 51) Mkazi wa Dodoma na...

Chart| Tanzania bado ni kinara wa Simba Duniani

Na Jackline Jerome, Gazetini Tanzania inaongoza barani Afrika na duniani kwa ujumla kwa kuwa na idadi kubwa ya simba, ikiwa na jumla ya takribani simba...

Bilioni 23 kuboresha miundombinu hifadhi za Taifa

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) imetenga fedha kiasi cha Sh 23.18 bilioni  kwa ajili ya...

Balile awashauri waandishi wa habari wanaoripoti kesi ya Lissu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ameshauri waandishi wa habari kuwa na alama za utambuzi wakati wa kuripoti...

Rais Samia aongeza kima cha chini cha mshahara, sasa ni Sh 500,000

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza   kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa...

Padri Kitima ajeruhiwa, Polisi yamshikilia mmoja

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Rauli Mahabi kwa tuhuma za kumjeruhi Katibu Mkuu wa Baraza la...

JWTZ yatangaza nafasi kuandikishwa jeshini, yaonya matapeli

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia Sekondari hadi...

Serikali yasisitiza utamaduni wa kujikinga na ajali mahali pa kazi  

*Yaadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani mkoani Singida Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Serikali imetoa wito kwa waajiri, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kujenga utamaduni wa...

Recent articles

spot_img