Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

Jamii

RC Mtambi aagiza Halmashauri Serengeti kutoa fedha za uendeshaji kwa kila kijiji

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kutenga na kupeleka angalau Shilingi 100,000 kila...

RC Mtambi aipongeza Halmashauri ya Serengeti kwa Hati inayoridhisha ya CAG

Na Malima Lubasha, Gazetini – Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa kupata hati inayoridhisha katika...

Dk. Jingu aeleza juhudi za Serkali kuhakikisha jamii inaachana na ukatili wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. John Jingu amesema Serikali inaendelea na juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba...

Makanisa sita ya Gwajima yafungiwa  Mbeya

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafungia matawi sita ya Kanisa la Ufufuo na Uzima yaliyokuwa yakiendelea  na huduma katika maeneo tofauti mkoani...

Rais Samia aongoza harambee uchangiaji ujenzi kituo cha watoto, achangia milioni 150

Na Mwandishi Wetu Rais  Samia Suluhu Hassan ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre ambapo...

Elimu bila malipo kuendelea, kuboresha mazingira ya wanafunzi 2025–2030

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, kimeweka mkazo mkubwa katika kuboresha maisha ya watoto wa...

Ilani ya CCM: Malezi na ulinzi wa mtoto kuimarishwa

Na Jonathan Benedict, Gazetini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka dhamira ya dhati ya kuimarisha ulinzi, malezi na maendeleo ya watoto kupitia Ilani yake ya Uchaguzi...

JET yaonya uwindaji haramu wa kasa

*Yasema unatishia uhai wa binadamu na bahari Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mei 23, ni Siku ya Kimataifa ya Kasa wa Baharini, Chama cha Waandishi wa Habari...

Tembo, Simba watesa wananchi Serengeti

Na Malima Lubasha,Gazetini-Serengeti Wakazi wa Kata ya Nagusi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wameelezea hofu na wasiwasi mkubwa kutokana na ongezeko la matukio ya uvamizi...

Over 3,000 Gather Worldwide to Mark 6th International Women’s Peace Day with IWPG

In a powerful demonstration of global unity and commitment to peace, the International Women’s Peace Group (IWPG) held a series of commemorative events marking...

Wazazi saidieni malezi ya watoto ili kuboresha taaluma

Na Malima Lubasha, Gazetini– Serengeti Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mapinduzi iliyoko wilayani Serengeti, mkoa wa Mara, Jumanne Nyamhanga, amewataka wazazi na walezi kushirikiana...

Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema linamshikilia na kumhoji Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa tuhuma za kuyageuza makazi yake kuwa...

Recent articles