Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

Jamii

Serengeti ni Tunu ya Taifa na Urithi wa Dunia itunzeni

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo...

IWPG Marks 6th Anniversary of International Women’s Peace Day with Global Virtual Ceremony

By Our Correspondent The International Women's Peace Group (IWPG), Global Region 2, under the leadership of Regional Director Seo Yeon Lee, successfully held an international...

Serikali yafikiria kuwapa posho wazee

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee kutoka kwenye umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu. Hayo...

Zuhura ahimiza wafanyakazi kushiriki michezo ili kujenga afya

Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...

Jaji Kiongozi apongeza ushirikiano wa Mahakama na OSHA katika kukuza usalama na afya mahali pa kazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dk. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaoendelea baina ya Mahakama na Wakala wa Usalama na...

Simbachawene: Uhamisho ni haki ya mtumishi, waajiri watumie busara

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa uhamisho ni haki...

Kanisa la Shincheonji lakanusha Ripoti ya Le Parisien, ladai ni upotoshaji

Kanisa la Shincheonji la Yesu nchini Ufaransa limekanusha vikali taarifa iliyochapishwa na gazeti la Le Parisien Aprili 7, 2025, likiitaja kama yenye upendeleo, upotoshaji...

Rais Samia mgeni rasmi Tuzo za ‘Samia Kalamu Awards’

Na Esther Mnyika, Gazetini RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazojulikana kama Samia Kalamu...

Nyongo: Sekta binafsi ina mchango mkubwa kwa Taifa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na...

IWPG Engages Tanzanian Government in Strategic Dialogue on Women-Led Peacebuilding at UN CSW69

The International Women’s Peace Group (IWPG) Global Region 2, under the leadership of Regional Director Seo-Yeon Lee, took part in the 69th session of...

IWPG Signs MOU for Peace Projects at the 69th UN CSW Session

The International Women’s Peace Group (IWPG) Global Region 2 (Global Director Seo-Yeon Lee) participated in the 69th session of the UN Commission on the...

Chart: Nchi 10 barani Afrika zinazokumbwa zaidi na ugaidi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kwa mujibu wa ripoti ya GTI ya 2025 iliyochapishwa na Taasisi ya Uchumi na Amani, ukanda wa Sahel umeendelea kuwa kitovu...

Recent articles