25.2 C
Dar es Salaam

Infographics

Visual| Umaskini unavyochochea ndoa za utotoni Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini "Sina furaha kabisa na ndoa hii, natamani kutoka lakini kinachonibakisha ni watoto wangu wawili, sitamani tena kuzaa mtoto mwingine nasubiri watoto...

Visual| Tunachofahamu kuhusu chanjo ya Uviko-19 Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Hadi kufikia Julai 18, 2022 jumla ya wananchi milioni 11.5 sawa na asilimia 37 ya watu wenye umri wa miaka 18...

Visual| Miaka 40 ya UKIMWI: Namna Afrika ilivyotikiswa

Na Faraja Masinde, Gazetini Ni zaidi ya miaka 40 sasa tangu kuripotiwa kwa kisa cha Virusi Vya UKIMWI, hata hivyo bado ugonjwa huo umeendelea kuwa...

Visual| Tunachofahamu kuhusu ndoa za mitala Tanzania

Kwa mujibu wa Matokeo Muhimu ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania wa mwaka 2015-16, yanaonyesha kuwa asilimia...

Wanawake wa mijini ni wanene mara mbili zaidi

Utafiti wa TDHS-MIS 2015-16 unaonyesha kuwa 42% ya wanawake wa mijini ni wazito au wanene mara mbili zaidi ya wale wa vijijini. Uzito uliokithiri na...

Visual| Tunayofahamu kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023

Na Faraja Masinde, Gazetini Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023. Dk. Nchemba amewasilisha...

Wanawake na Vijana kunufaika na ajira milioni 3

Na Faraja Masinde, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa inakabiliana na makali ya ukosefu wa ajira, Serikali imepanga kutengeneza ajira za wanawake na vijana milioni 3 kote...

Serikali na mkakati wa kusajili watoto wote nchini

Na Faraja Masinde, Gazetini SERIKALI imeagiza kusajiliwa kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano na kwamba huduma hiyo inatolewa bure. Wito huo umetolewa Juni...

Serikali yatenga Bilioni 8 kusaidia watoto wanaotoka familia maskini

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali imeanzisha Mfuko maalumu utakaowasaidia wanafuzni wanaotoka katika mazingira magumu ili waweze kumudu masomo yao nakupunguza utegemezi kutoka kwa watu mbalimbali...

Visual| Kwanini uwekeze kwa Mkunga

Na Faraja Masinde, Gazetini Maisha ya wanawake 556 wanaofariki dunia kutokana na uzazi yanaweza kuokolewa iwapo tu uwekezaji utafanyika kwa Wakunga. Aidha, vifo vya watoto 67...

Visual| Watoto wanavyokosa haki ya kunyonyeshwa

Kama inavyofahamika kwamba Unyonyeshaji una faida kubwa kwa mama na mtoto ikiwemo uimarishaji wa afya ya akili katika maendeleo ya mtoto, kuwalinda watoto dhidi...

Visual| Kuchukulia poa chanjo ya Uviko-19 kunavyogharimu maisha

Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali,...

Recent articles

spot_img