29.2 C
Dar es Salaam

Infographics

Chart| Mwenendo wa Utekelezaji wa Mradi wa JNHPP

Na Jackline Jerome, Gazetini Tanzania inatekeleza ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme waMW 2,115 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji maarufu kama Bwawa...

Chart| SADC inavyoinufaisha Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na Ripoti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ya mwaka 2023, inaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la bidhaa za...

Infographic| Maambukizi mapya ya VVU bado ni mtego kwa vijana

*TACAIDS yasema mapambano bado hayajaisha *Nyenzo ya Kondomu yasisitizwa Na Mwandishi Wetu, Gazetini Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI ni kama bado yameendelea kuwa mtego kwa...

Visual| Tunayofahamu kuhusu Ikulu mpya ya Chamwino

Na Faraja Masinde, Gazetini Mei 20, 2023 Rais Dk. Samia Suluhu Hassan alizindua Ikulu mpya ya Chamwino mkoani Dodoma kama ofisi na makazi rasmi ya...

Chart| Hali ya ukosefu wa chanjo kwa watoto Kusini na Mashariki mwa Afrika

Na Hassan Daudi, Gazetini Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...

Kuzuia Kisukari na Shinikizo la Damu; Mwanzo ni kujitambua

Na Tulinagwe Malopa, Gazetini Kisukari na shinikizo la damu ni magonjwa yanayoathiri mamilioni ya watu Tanzania na duniani kote. Hata hivyo, wengi wetu hatujui kuhusu...

Visual| Tanzania na mkakati wa kudhibiti Malaria 2030

Na Jackline Jerome, Gazetini Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa katika kuhakikisha ugonjwa wa Malaria unadhibitiwa huduma za ugonjwa huo zitaanza kutolewa bure katika vituo vya...

Chart| Uchumi wa Tanzania wapaa miaka miwili ya Rais Samia – IMF

*Pato la Taifa lafikia Sh trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh trilioni 163 ya mwaka 2021 *Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi...

Janga la UKIMWI linavyoongeza watoto yatima Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF) Tanzania, zinaonyesha kuwa watoto Milioni 1.1 wenye...

Chart: Imani potofu kuhusu TB Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini Machi 24, ya kila mwaka Tanzania huungana na nchi nyingine duniani kiadhimisha siku ya Kifua Kikuu(TB). Kwa hapa nchini Takwimu za Wizara...

Visual: Elimu bado inahitajika kudhibiti TB nchini

Na Faraja Masinde, Gazetini Licha ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kudhibiti Kifua Kikuu(TB) nchini ikiwamo kutoa matibabu bure lakini bado takwimu zinaonyesha kwamba...

Infographic| Ilani ya CCM ilieleza nini kuhusu watu wenye ulemavu?

Na Jackline Jerome,Gazetini Watu wenye ulemavu ni moja kati ya makundi muhimu na maalumu katika jamii, hata hivyo, wakati mwingine limekuwa likikosa nafasi katika nyanja...

Recent articles

spot_img