*Nikutoka 556 mwaka 2016 hadi 104 mwaka jana
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
SERIKALI imeweza kupunguza idadi ya vifo vya mama mjamzito kutoka 556 kwa Mwaka 2016...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa...
*Lawataka WAVIU kuamka wakatae utegemezi
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Katika tukio la kihistoria lililomjumuisha Bodi mpya ya uongozi wa Baraza la Kitaifa la Watu Wanaoishi na...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...
*Kamati ya Bunge ya Afya na UKIMWI yapongeza
Na Nadhifa Omar, Singida
Kituo cha Maarifa cha Manyoni mkoani Singida kimechangia katika mikakati ya Taifa ya utoaji...
*Wanawake wapewa neno
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi...
*Madaktari watoa ujumbe kwa jamii
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Ijumaa Septemba 22, 2023 wamejitokeza katika maonesho ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katibu Mkuu - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhandisi, Cyprian Luhemeja amewataka madiwani wa Mkoa wa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
MACHI, 2022, Zahanati ya Ihumwa mjini Dodoma, iliweka wazi changamoto ya uhaba wa magodoro katika wodi ya wazazi. Unaizungumzia zahanati iliyoko...