Bao la dakika ya 90, lililofungwa na mchezaji Sofiane Bayazid linaipa pointi tatu MC Alger ya Algeria baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wananchi Yanga katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ulipigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Yanga yashindwa kujishikilia, yapigika Zanzibar
Published:


