14.7 C
New York

Mbappe ajichanganya kwa Wachina

Published:

BEIJING, China

TAARIFA zinaeleza kuwa Shirika la Utangazaji la China [CCTV] limechukua uamuzi wa kuacha kuonesha mechi zote za Ligi Kuu ya Hispania [La Liga].

Hatua hiyo imetokana na kukerwa na kitendo cha Kylian Mbappe kumuita dikteta muasisi wa Taifa hilo, Mao Zedong.

Kauli ya Mbappe ilikuja baada ya picha iliyotengenezwa ikimuonesha Mbappe akiwa na mwonekano wa Zedong.

Kwa upande mwingine, hatua ya CCTV inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa biashara ya haki za matangazo ya La Liga.

Kwa miaka mingi, La Liga imekuwa ikiitegemea China kama moja ya vyanzo vyake vikubwa vya mapato.

Related articles

Recent articles