13.2 C
New York

Staa wa mielekea afariki

Published:

LONDON, Uingereza

MWANAMICHEZO maarufu wa mieleka wa Uingereza, Benjamin Satterley ‘Pac’, amefariki akiwa na umri wa miaka 40, kwa mujibu wa wawakilishi wake.

Pac ameiaga dunia siku moja tu baada ya kuhudhuria hafla ya ‘All Out’ iliyofanyika wikiendi iliyopita mjini Chicago, Marekani.

Historia inaonesha kuwa staa huyo ni mzaliwa wa Newcastle, England, na alianza kujihusisha na mchezo huo mwaka 2004.

Kabla ya kusaini mkataba na Chama cha Mieleka cha AEW, Pac aliwahi kufanya kazi na vyama mbalimbali, ikiwamo World Wrestling Entertainment (WWE).

Miongoni mwa walioeleza kusikitishwa na taarifa za kifo chake ni Rais wa AEW, Tony Khan, akisema: “Nimeshitushwa. Inaumiza mno,” amesema.

Related articles

Recent articles