Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushirikiana na taasisi nyingine kutoa elimu kwa...
Na Mwandishi Wetu
Bunge la Tanzania limeidhinisha Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yenye jumla ya Sh 2.746 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kisha kukagua gwaride la...
Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia,...
Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast
KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma
Mbunge wa Singida Mjini, Musa Sima (CCM), ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuzingatia maeneo matano muhimu ya kipaumbele...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Timu nane zilizofuzu hatua ya robo fainali (Super 8) itakayochezwa kwa mtindo wa mzunguko zinatarajia kuamua bingwa wa michuano ya Ligi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...