Ads: info@gazetini.co.tz |
25.3 C
Dar es Salaam

Europe

City wamalizana na Donnarumma, kumng’oa Ederson

PARIS, UfaransaMLINDA mlango wa PSG na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma, amekubaliana masilahi binafsi na klabu ya Manchester City.Donnarumma mwenye umri wa...

Zelensky: Tutapigana na Urusi hadi kieleweke

KYIV, UkraineRAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema wataendeleza vita na Urusi hadi pale majirani zao hao watakapoacha kuwakandamiza.Kauli ya Zelensky imekuja baada ya Urusi...

Nuno kutimuliwa, Rodgers kupewa mikoba Nottingham

LONDON, UingerezaKLABU ya Nottingham Forest iko mbioni kumfuta kazi kocha Nuno Espirito Santo, wakati huo pia ikimpigia hesabu Brendan Rodgers anayeinoa Celtic kwa sasa.Rodgers...

Madrid kuivaa Oviedo bila mastaa wanne

MADRID, HispaniaKUELEKEA mchezo wao wa leo wa La Liga dhidi ya Real Oviedo, kocha wa Real Madrid, Xabi Alonso, atawakosa mastaa wake wanne.Kwa mujibu...

Fernandes awindwa Saudi Arabia

MANCHESTER, UingerezaKLABU tajiri ya Al-Ittihad iko mstari wa mbele kuiwania saini ya staa wa Manchester United, Bruno Fernandes, ikipanga kumnasa wakati huu wa usajili...

De Bruyne, McTominay waongoza ‘mauaji’ Napoli

NAPOLI, ItaliaKIUNGO wa kimataifa wa Ubelgiji, Kevin de Bruyne, alifunga bao la pili, baada ya Scott McTominay kuitanguliza Napoli, mchezo wa Serie A uliomalizika...

Ten Hag aanza vibaya Bundesliga

MUNICH, UjerumaniKOCHA wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, amepoteza mechi yake ya kwanza ya Bundesliga akiwa kocha wa Bayer Leverkusen.Leverkusen walianza vizuri...

Gyokeres ameanza kurudisha ‘chenji’ Arsenal

LONDON, UingerezaSTRAIKA mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres, amefunga mabao mawili dhidi ya Leeds United, ikiwa ni mechi yake ya pili tu ya mashindano tangu...

Diaz aongeza mkataba Man City

MANCHESTER, UingerezaBEKI wa Manchester City, Ruben Dias, ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya jijini Manchester.Diaz, raia wa Ureno mwenye umri...

Eberechi Eze; Silaha nyingine mpya ndani ya Emirates

LONDON, EnglandARSENAL hawatanii. Wakati mabosi wa Tottenham wakiamini ni suala la muda kumtambulisha, Arsenal waliingilia na kumalizana na mshambuliaji wa Crystal Palace, Eberechi Eze....

Bailey aandika historia Serie A

ROMA, ItaliaBAADA ya kujiunga na AS Roma, winga aliyekuwa Aston Villa, Leon Bailey, anakuwa mchezaji wa kwanza raia wa Jamaica kuitumikia klabu hiyo ya...

EPL yavunja rekodi usajili Ulaya

LONDON, UingerezaKLABU za Ligi Kuu ya England (EPL) zimeshatumia Pauni bilioni 2.37 katika soko la usajili wa majira haya ya kiangazi, kiasi kikubwa zaidi...

Recent articles