23.9 C
Dar es Salaam

Michezo

Kocha Yanga: Siwaandai wachezaji wangu kisaikolojia kwa sababu si wagonjwa

Na Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamad amesema hawaandai wachezaji wake kisaikolojia kwa sababu si wagonjwa,  wako vizuri kiakili, yeye kama kocha kazi yake...

TSA yahitimisha msimu kibabe kwa mabingwa watoto kupatikana, BMT yawapongeza

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA), kimehitimisha msimu wa mashindano kwa mujibu wa kalenda yao kwa kupata mabingwa katika michuano ya Taifa ya...

Uchaguzi Mkuu TFF Agosti 16

Na Mwandishi Wetu Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania imetangaza uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika Agosti 16, 2025 jijini Tanga. Taarifa ya Mwenyekiti...

Watoto 295 wajitokeza mashindano ya kuogelea, TSA yajivunia mafanikio 

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Vijana wadogo  295 wenye umri chini ya miaka 12,wamejitokeza katika mashindano ya mchezo wa  kuogelea ya  Taifa ambapo  Chama cha Mchezo huo Tanzania (TSA), kimesema...

Sakata la dabi ya Kariakoo, Serikali yatoa msimamo

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema kuwa inaendelea kufuatilia kwa makini sakata la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba, lakini haitangilia...

Simba  ndoto zao ni kucheza  dabi, yawaita mashabiki kwa Mkapa Juni 15

Na Mwandishi Wetu Pamoja na mkanganyiko uliopo juu ya mchezo dabi ambapo  Yanga wameweka wazi kuwa hawatapeleka timu uwanjani Juni 15, klabu ya Simba imetoa...

Yanga yaishika pabaya TFF, yaibuka na madai mapya

Na Mwandishi Wetu Sakata la Klabu ya Yanga la fedha za zawadi, limeendelea baada ya kutoa tuhuma nyingine kwa Shirikisho la Soka Tanzania( TFF) ambapo...

Serikali yatenga bilioni 43 kuimarisha michezo  shuleni

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga  Sh 43 bilioni ili kuimarisha michezo katika shule mbalimbali nchini, kati ya hizo, Sh 32 bilioni ...

Bado hakijaeleweka, Yanga yakomaa haichezi dabi Juni 15

Na Mwandishi Wetu Licha ya kufanya kikao na uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), leo Juni 9, 2025, Klabu ya Yanga imeendelea  kushikilia msimamo...

NMB ilivyonogesha Pugu Marathon 2025 , zaidi ya wanariadha 6000 wajitokeza

Na Mwandishi Wetu IKIWA ni msimu wa tatu mfululizo Mbio za Hisani za Pugu Marathon zimeendelea kukusanya wanariadha kutoka maeneo tofauti nchini ambapo mwaka huu...

Serikali yasisitiza Dabi iko pale pale Juni 15

Na Mwandishi Wetu Wakati Yanga ikiendelea na kampeni yake ya ‘Hatuchezi’ Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano watani  hao wa jadi,Yanga na Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni...

Mabondia wamchana ‘live’ Amos Mwamakula baada ya kushindwa kesi ya Vitasa na Azam Media

Na Mwandishi Wetu Mabondia wa ngumi za kulipwa nchini wamefurahia kitendo cha Azam Media kushinda Rufaa ya kesi ya Vitasa, huku wakikemea kitendo alichofanya bondia...

Recent articles

spot_img