Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kupoteza mechi yao ya kwanza ya hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa, Simba inahitaji ushindi wikiendi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Tanzania kwa sasa ina umeme wa kutosha, na kwamba ukamilifu wa Mradi wa Kufua Umeme...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amejiuzulu nafasi ya makamu mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).Machumu amekabidhi barua...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu watanzania kutanguliza utu na heshima kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, akipinga namna ambavyo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amefuta leseni 73 za utafiti na uchimbaji wa kati baada ya wamiliki wake kushindwa kurekebisha makosa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku akielekeza lipewe miezi sita ya uangalizi katika...
LONDON, UingerezaKWA viwango vya sasa vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Uzbekistan inashika nafasi ya 50.Uzbekistan, maarufu kwa jina...
Na Mwandishi WetuWaziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) likishirikiana na wadau wa Umoja wa Mataifa limetoa ripoti muhimu leo jijini Geneva, Uswisi, ikibainisha kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ALIYEKUWA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo 20 Novemba, 2025 amemkabidhi rasmi ofisi Waziri wa Nishati...