Na Winfrida Mtoi, Gazetini
WADAU wa mchezo wakuogelea Afrika Mashariki wamekutana kujadili maendeleo ya mchezo huo, huku Serikali ya Tanzania ikiahidi kuunga mkono jitihada zao...
Na Mwandishi WetuWaziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi...
Na Mwandishi Wetu
Mexico imeibuka mshindi wa taji la Miss Universe 2025 kupitia mrembo wake Fatima Bosch, mwenye umri wa miaka 24.Fatima, anafahamika kwa uthubutu wake...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Concalves amesema falsafa yake katika mechi ya kesho Novemba 22,2025 dhidi ya AS FAR Rabat ni...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ALIYEKUWA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo 20 Novemba, 2025 amemkabidhi rasmi ofisi Waziri wa Nishati...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ameielekeza Tume Huru ya Uchunguzi matukio yaliyotokea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema yaliyotokea Oktoba 29, yameitia doa Tanzania na huenda yakaipunguzia sifa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linachunguza tukio la kujinyonga kwa watoto wawili wa kike wenye umri wa miaka 11,...
Na Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Msafara wa kikosi cha Yanga umetua visiwani Zanzibar kwa maandalizi ya kuikabili AS FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa...
Na Mwandishi Wetu,Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, akiunda jumla ya wizara 27, mbili zikiwa...
Na Mwandishi Wetu
Nyota wa Pyramids, Fiston Mayele ameingia katika tatu bora ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa klabu kwa Afrika kwa mwaka...