21.8 C
New York

Neymar astaafu Brazil ikitolewa

Published:

MIAMI, Marekani

NEYMAR ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya soka ya Taifa ya Brazil, uamuzi uliokuja baada ya kikosi hicho kutolewa kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026).

Mshambuliaji hiyo wa zamani wa Barcelona na PSG alianza kucheza timu ya Taifa mwaka 2010. Mechi yake ya kwanza ilikuwa dhidi ya Marekani.

Ametangaza kuachana na majukumu ya timu ya Taifa muda mfupi baada ya Brazil kufungwa na Norway mabao 2-1 na kuishia hatua ya 16 Bora.

Kwa mujibu wake, staa huyo mwenye umri wa miaka 34 amesema alijitahidi kwa kadiri alivyoweza kuisaidia timu hiyo.

“Nilijaribu. Nilijaribu. Nilianzia (mechi ya kwanza akiwa na Brazil) hapa katika Uwanja wa Met Life na naimalizia hapa. Nimefika mwisho,” amesema.

Related articles

Recent articles