23.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Man City ilivyovunja rekodi kwa Chelsea

MANCHESTER, Uingereza BAADA ya kuifunga Chelsea bao 1-0, Manchester City si tu imetwaa ubingwa wa Kombe la FA, bali pia imeandika historia mpya kwenye michuano...

Kocha Chelsea aitangazia vita Man City

LONDON, Uingereza KOCHA wa muda wa Chelsea, Calum McFarlane, amesema hawana cha kuambulia msimu huu zaidi ya Kombe la FA, hivyo lazima wapambane kuifunga Manchester...

Rio: United mpeni kazi Luis Enrique

LONDON, Uingereza LEJENDARI wa Ligi Kuu ya England (EPL), Rio Ferdinand, amesema kama si Michael Carrick, basi Luis Enrique wa PSG ndiye kocha sahihi wa...

Dakika 20,70 za Ibenge ndani ya ligi kuu bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini KOCHA mwenye 'CV' kubwa katika soka la Afrika, Florent Ibenge, ametimiza dakika dakika 20,70 tangu alipoanza kuisimamia Azam katika mechi za...

Azam, TRA United zilivyoshikilia ubingwa wa Yanga

Na Hassan Mwasha, Gazetini YANGA iko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 54, wakati Simba iko nafasi ya pili kwa tofauti...

Simba kazi ipo hapa kutwaa ubingwa ligi kuu bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini SIMBA ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, haipaswi kupoteza hata mchezo mmoja, huku ikiiombea dua mbaya Yanga...

Yanga, Azam zinatisha viwanja vya nyumbani

Na Hassan Mwasha, Gazetini MSIMU wa Ligi Kuu Bara unaelekea ukingoni, huku Yanga na Azam zikiwa ndizo timu pekee ambazo hadi sasa hazijafungwa katika mechi...

Simba wababe wa ugenini Ligi Kuu Bara 2025-26

Na Hassan Mwasha, Gazetini KUFIKIA hatua hii ya msimu wa Ligi Kuu Bara 2025-26, ambapo kila timu kati ya zile 16 imeshashuka dimbani mara 23...

Osimhen atakiwa kuondoka Uturuki

ISTANBUL, Uturuki MKONGWE wa Inter Milan, Obinna Nsofor, amemshauri Mnigeria mwenzake, Victor Osimhen, kuondoka Galatasaray, akisema ameshafanya makubwa Ligi Kuu ya Uturuki (Super Lig). Osimhen ameshinda...

Yanga, Simba kama Arsenal, Man City tu hesabu za ubingwa

Na Hassan Mwasha,Gazetini KWA mashabiki wa soka wa Tanzania, macho na masikio yao yameelekezwa katika vita mbili kubwa. Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na ile...

Meli 30 za mafuta zaruhusiwa kupita Hormuz

TEHRAN, Iran JESHI la Iran (IRGC) limetangaza kuruhusu meli zaidi ya 30 zilizobeba mafuta kupita katika Mlango-Bahari wa Hormuz usiku wa Mei 14, 2026. Iran imeimarisha...

Mafanikio sekta ya afya nchini 2021-26

Na Hassan Mwasha, Gazetini KATIKA moja ya nukuu zake maarufu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutaja maradhi kuwa ni moja ya maadui watatu wa Taifa...