27.2 C
Dar es Salaam

Watoto

    Visual| Fahamu idadi ya Watoto Tanzania

    *Serikali iongeze nguvu vijijini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya Watoto nchini Tanzania ni...

    Visual| Idadi ya watu Tanzania kwa umri

    Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...

    GGML yatoa elimu ya haki, wajibu maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau mbalimbali likiwemo Jeshi la...

    Chart| Hali ya ukosefu wa chanjo kwa watoto Kusini na Mashariki mwa Afrika

    Na Hassan Daudi, Gazetini Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...

    Janga la UKIMWI linavyoongeza watoto yatima Tanzania

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF) Tanzania, zinaonyesha kuwa watoto Milioni 1.1 wenye...

    Visual| Wasichana milioni 4.3 wako hatarini kukeketwa 2023

    Na Jackline Jerome, Gazetini Ripoti ya pamoja ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi(UNFPA), Dk....

    Infographic| Hali ilivyo Uturuki, Syria baada ya matetemeko ya ardhi

    Na Mwandishi Wetu, Gazetini Watu 7,266 wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine 35,626 wakijeruhiwa kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyozikumba nchi za Uturuki na Syria usiku wa...

    MAP| Wananchi Morogoro wanavyopambana na Malaria kwa watoto

    *Ni mfereji uliopewa jina la ‘Aunty Malaria’ kwasababu ya uzalishaji wa mbu katika makazi yaliyo karibu *Pamoja na ugumu wa mazingira hayo, wananchi wanajitahidi kufanya...

    Makala| Josephine; Shujaa anayeleta tabasamu kwa watoto wenye ulemavu Morogoro

    *Zaidi ya watoto 600 wamenufaika na mpango huu *Baadhi ya wazazi waliona nimegeuza watoto wao kitega uchumi Na Tulinagwe Malopa, Gazetini "Ilikuwa ni baada ya kujikuta...

    Visual| Tanzania inavyodhibiti Polio

    Na Faraja Masinde, Gazetini Hadi sasa Tanzania imefanikiwa kutoa chanjo ya Polio kwa Watoto 27,952,164 wenye umri chini ya miaka mitano. Idadi hiyo ni baada ya...

    Visual| Idadi ya Watoto Tanzania kabla ya Sensa 2022

    Na Faraja Masinde, Gazetini Agosti 23, mwaka huu Tanzania inatarajia kufanya Sensa ya Watu na Makazi ikiwa ni sensa ya sita kufanyika tangu Muungano wa...

    MAP| Usajili wa Watoto Tanzania

    Na Faraja Masinde, Gazeti Kwa miaka ya nyuma suala la usajili wa watoto na kupata vyeti vya kuzaliwa ilikuwa siyo kipaumbele cha wazazi walio wengi,...

    Recent articles

    spot_img