Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BONDIA Debora Mwenda maarufu Bondia Mrembo, ameahidi kuiwakilisha vizuri Tanzania dhidi ya Mariam Dick kutoka Malawi watakapokutana katika pambano la Box...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
CHUO cha Maendeleo ya Michezo Malya kinaendesha mafunzo maalum kwa wakufunzi wa gym na makocha wa viungo ili kuwaongezea ujuzi na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amejiuzulu nafasi ya makamu mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).Machumu amekabidhi barua...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Jumla ya wanariadha wanawake 155, wanatarajiwa kushiriki katika msimu wa saba wa mashindano ya riadha maarufu 'Ladies First' yatakayofanyika kuanzia Novemba...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu watanzania kutanguliza utu na heshima kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, akipinga namna ambavyo...
Na Mwandishi Wetu, Gezetini
Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru, huku mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amefuta leseni 73 za utafiti na uchimbaji wa kati baada ya wamiliki wake kushindwa kurekebisha makosa...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
KUELEKEA pambano kubwa la kufunga mwaka maarufu ‘Boxing On Boxing Day, tayari mabondia wanaopanda ulingoni siku hiyo wakiongozwa na Hassan Mwakinyo,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku akielekeza lipewe miezi sita ya uangalizi katika...
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilemela imewaachia huru watuhumiwa 57 kati 61 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa kufuatia maandamano na matukio ya...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
SIMBA imeshindwa kutamba nyumbani baada ya kufungwa na Petro de Luanda bao 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijjni Dar es...