Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imekiri kuwepo kwa ujanja ujanja katika biashara ya mtandaoni, hivyo imeanza kuchukua hatua na kupunguza changamoto hiyo kwa kuwa na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee kutoka kwenye umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.
Hayo...
Na Mwandishi Wetu
Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha Kudhibiti Maradhi (CDC), imetangaza kutoa msaada wa karibu dola milioni moja kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzani(TFF), limetangaza uchaguzi mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora ambapo gharama za...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dk. Fatma Mganga amewapokea madaktari bingwa na bingwa bobezi 50 wa Rais Samia na kuwataka...
Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari nchini kutumia Akili Mnemba (IA) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio muhimu kinachopima thamani ya jumla ya bidhaa na huduma zinazozalishwa katika taifa kwa kipindi cha...
Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...
*Ahamasisha ushirika wa wakulima
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2025, ametoa maagizo sita kwa wadau wa sekta ya kilimo nchini,...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Timu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya leo kutoka suluhu na Stellebosch katika mchezo wa...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Mashindano ya kuogelea ya Klabu Bingwa Taifa yameanza huku uongozi wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), ukiwa na matumaini makubwa ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dk. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaoendelea baina ya Mahakama na Wakala wa Usalama na...