24.7 C
New York

Liver yamnasa Ekitike kwa bil. 277/-

Published:

MERSEYSIDE, England
LIVERPOOL wamefanikisha usajili wa mpachikaji mabao Hugo Ekitike, huku dili hilo likigharimu Pauni milioni 79 (zaidi ya Sh bil. 277 za Tanzania).
Ikumbukwe, nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa, ambaye amesaini miaka sita Anfield alikuwa kwenye rada za Newcastle United.
Kwa wiki kadhaa, Liverpool walikuwa kwenye meza ya mazungumzo na mabosi wa
Frankfurt ya Bundesliga.
Msimu uliopita, Ekitike alizifumania nyavu mara 22 katika mechi 48 za michuano mbalimbali.

Related articles

Recent articles