28.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Rais Mwinyi awatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Idara  Maalum za SMZ

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalum za SMZ, Dk. Hussein Ali...

Tanzania, Msumbiji  kuimarisha uhusiano kibiashara 

Na Mwandishi Wetu Rais Samia  Suluhu Hassan, amesema  Tanzania itaendelea kushirikiana na   Msumbiji katika  kuleta maendeleo , ustawi wa wananchi  ikiwamo kuimarisha  uhusiano kibiasharana  baina ya nchi hizo mbili na  kukuza mshikamano barani...

Chart| Watanzania waanza kuitikia matumizi ya nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Dar es Salaam, Juni 25, 2025 – Licha ya juhudi mbalimbali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania,...

Rais Mwinyi kuvunja Baraza la Wawakilishi Agosti 13

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atalivunja rasmi Baraza la Kumi la Wawakilishi...

Dk. Mpango ashiriki Misa Takatifu iliyoongozwa na Papa Leo XIV, atembelea kampuni ya Health 3000

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali wa Kanisa Katoliki Duniani kushiriki Dominika...

Watumishi waaswa kuzingatia miiko, maadili ya utumishi wa Umma

Na Mwandishi Wetu Watumishi wa Umma wameaswa kuendelea kuzingatia miiko na maadili ya utumishi wa umma, sera za nchi, sheria, kanuni na miongozo iliyopo ambayo...

Rais Samia azindua Daraja la JP Magufuli

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 19, 2025 amefungua rasmi Daraja la  John Pombe Magufuli (Kigongo - Busisi) lililopo mkoani Mwanza, ili lianze...

Rais Samia azindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji Pamba

Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16, 2025, amezindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha MOLI Oil Mills...

Watu tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na Lori Morogoro

Na Mwandishi Wetu Watu tisa wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Hai lenye namba za usajili T523 EKM...

Rais Samia asisitiza maadili kwa Jeshi la Polisi

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa wahitimu wa kozi ya maafisa na wakaguzi wasaidizi wa Jeshi la Polisi kuwa mabalozi wa maadili na...

Tanzania yaadhimisha Siku ya Bahari Duniani kwa kusisitiza uchumi wa buluu endelevu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Juni 8, 2025, Tanzania iliungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Bahari Duniani — siku muhimu ya kutoa wito wa...

Dk. Biteko aatoa maagizo matatu  Wizara ya Maliasili, asema dunia inaangalia Tanzania na  Afrika Mashariki kuwa kitovu cha utalii

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maonesho ya utalii ya Karibu– Kilifair yanaendelea kukuwa kimataifa na...

Recent articles

spot_img