12.5 C
New York

Simba yatinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Published:

Na Mwandishi wetu, Gazetini

Timu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya leo kutoka suluhu na Stellebosch katika mchezo wa nusu fainali ya pili uliopigwa nchini Afrika Kusini.

Simba imeingia fainali kutokana na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa dimba la Mkapa, Dar es Salaam.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img