13.7 C
New York

Maajabu ya chumvi na historia yake ya miaka 5,000

Published:

Na mwandishi wetu, Gazetini

UMEWAHI kujiuliza maisha yangekuwa magumu kiasi gani bila uwepo wa chumvi kwenye mboga? Sasa, kwa taarifa yako, binadamu alianza kutumia kiungo hicho 5,000 iliyopita.

Katika miaka ya 30,000 [kabla ya kugundulika kwa kalenda ya sasa], chumvi ilikuwa ikivunwa katika nchi za China na Misri.

Baadaye, katika karne ya 14, chumvi ilianza kutumika kama kichanganyio cha kuongeza ladha kwenye vyakula vya wanyama wanaofugwa, wakiwamo ng’ombe na mbuzi.

Ilipofika mwaka 1830, matumizi ya chumvi yalihamia katika kuhifadhi vyakula ili visiharibike.

Hata hivyo, baada ya ugunduzi wa majokofu [mafriji] katika miaka ya miaka 1910, matumizi ya chumvi kwenye uhifadhi wa vyakula ulidorora.

Kwa kadiri miaka ilivyozidi kusogea, binadamu alianza kuingiza matumizi ya chumvi kwenye vyakula vyake. Leo hii, mboga haiwezi kulika bila chumvi.

Related articles

Recent articles