23.9 C
New York

Hispania, Ufaransa kuvaana nusu fainali

Published:

BOSTON, Marekani

TIMU ya soka ya Taifa ya Hispania imeifuata Ufaransa katika hatua inayofuata ya nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia.

Hispania wamevuka robo fainali baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ublegiji katika mchezo wa jana Julai 10, 2026.

Katika mechi hiyo, Hispania walitangulia kwa bao la Fabian Ruiz, kisha Charles Ketelaere kuisawazishia Ubelgiji.

Kwa mechi ya pili, Mikel Merino alifunga bao la ushindi na kuipatia Hispania tiketi ya kucheza nusu fainali.

Ufaransa wao waliingia nusu fainali baada ya ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya Morocco.

Related articles

Recent articles