26.9 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

TAWA yaitumia Sabasaba kutoa fursa za uwekezaji

Na Beatus Maganja, TAWA Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetoa wito kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia. TAWA...

Dk. Biteko ahimiza Uhifadhi wa Viumbe vya Baharini na Mazingira kwa ajili ya vizazi vijavyo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na kuhifadhi mazingira ya bahari...

TTB kuboresha maeneo ya Uhifadhi wa Nyuki kwa Shughuli za Utalii

Na Grace Mwakalinga, Gazetini-Morogoro Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeanza mikakati ya kuboresha maeneo yote nchini yenye uhifadhi wa nyuki na kuwekea utaratibu maalum kwa...

Wakazi wa kijiji cha Kondo waonywa kuhusu uharibifu wa misitu ya mikoko

Na Upendo Mosha, Gazetini- Bagamoyo Wakazi wa kijiji cha Kondo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wameonywa kuacha tabia ya kuharibu misitu ya mikoko iliyopo pembezoni mwa...

Ushirikiano ni muhimu katika kudhibiti biashara haramu ya viumbe pori-Mtaalam

Na Faraja Masinde, Gazetini Pamoja na jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na biashara haramu ya viumbe pori, bado kuna umuhimu mkubwa...

Utafiti| Asilimia 15 ya wagonjwa wa VVU wana kiwango cha juu cha sukari

Na Nora Damian, Gazetini Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umebaini asilimia 15 ya wagonjwa wenye Virusi vya UKIMWI...

Preliminary rounds of the 6th International Loving Peace Art Competetion held in Tanzania

*Hosted by IWPG Global Region 2, A project to spread peace culture *Many children participated… “Parents are very interested” By Our Correspondent The Dar es Salaam Branch...

Watumishi mahakama watakiwa kuisoma ripoti haki jinai kuboresha uhifadhi wa wanyamapori

Na Nora Damian, Gazetini Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewaelekeza watumishi wa mahakama kuisoma ripoti ya Tume ya Haki Jinai ili kuimarisha ulinzi...

“MITI KWA UMRI”: Birthday yako inaweza kuiokoa Tanzania na mabadiliko ya tabianchi

Na Faraja Masinde, Gazetini-Pwani Katika kuhakikisha Taifa linakabiliana na mabadiliko ya Tabianchi Watanzania wametakiwa kupanda miti kwa wingi hasa wanaposherehekea siku zao za kuzaliwa. Hayo yamesemwa na Brigedia...

Watoto Mwanza waiomba Serikali kuondoa shule maalum na kuimarisha ulinzi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Juni 16, 2024, Tanzania inaungana na nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Wakati wa maandalizi...

Ripoti| Wagonjwa wa afya ya akili wanaongezeka nchini

Na Grace Mwakalinga, Gazetini KATI ya mikoa  28 iliyopo nchini, mikoa mitano ndio yenye vituo vinavyotoa huduma ya utengamo wa afya ya akili ikiwemo Dodoma...

Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua-TACAIDS

*....yadhamiria kupunguza zaidi Na Faraja Masinde, Gazetini Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 7 hadi kufikia asilimia...

Recent articles

spot_img