26.7 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Watoto walioweka rekodi GGML KiliChallenge, wang’ara siku ya mashujaa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama amewapongeza watoto Abel Mussa na Rebbeca Damian wenye...

Makala| Wananchi wanavyoteswa na Watendaji wadanganyifu

Na Faraja Masinde, Gazetini MACHI, 2022, Zahanati ya Ihumwa mjini Dodoma, iliweka wazi changamoto ya uhaba wa magodoro katika wodi ya wazazi. Unaizungumzia zahanati iliyoko...

Serikali yaahidi kuunga mkono kampeni GGML KiliChallenge

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema Serikali itaendelea kuunga mkono kampeni ya GGML...

“Kama mnapanga siku na saa ya kukutana, usisahau kinga”-Dk. Kikwete

*Asema GGML wameonyesha njia udhibiti wa VVU *...ataka vijana kujihadhari Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Kill Challenge inavyosukuma jitihada za kudhibiti UKIMWI nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete amepongeza kampeni maalum ya kuchangia fedha katika utekelezaji wa afua...

Dk. Kikwete kuwaaga wapanda mlima 61 Kampeni ya GGML KiliChallenge-2023

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa Julai 14, 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro kupitia kampeni...

DCEA: Kila mtu anawajibika kudhibiti dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...

GGML yaelimisha wadau utekelezaji mpango wa CSR

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAONESHO ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam, yanayofanyika katika viwanja vya SabaSaba, yamekuwa ni fursa adhimu kwa wadau...

Mramba avutiwa na banda GGML Sabasaba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Makala| Sababu wanaume kukwepa chanjo ya Uviko-19

Na Faraja Masinde, Gazetini TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...

Makala| ‘Kamari’ ya maisha mazuri inavyopeperusha nguvu kazi ya Taifa

Na Faraja Masinde, Gazetini Tanzania, kama zilivyo nchi zingine za Afrika, imeendelea kugubikwa na changamoto ya uhaba wa ajira, hasa kwa kundi la vijana na...

Chart| Halmashauri 10 zilizozima Posi kwa muda mrefu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema wakurugenzi wa halmashauri ambao...

Recent articles

spot_img