4.1 C
New York

Usky: Umri namba tu, nitamchakaza Dubois

Published:

LOS ANGELES, Marekani
KUELEKEA pambano lao la kesho, Oleksandr Usyk amesema umri wake mkubwa hautamzuia kumtandika Daniel Dubois.
Hii inakuwa mara ya pili kukutana baada ya pambano lao la mwaka 2023, ambapo Usyk alishinda kwa ‘KO’ ya raundi ya tisa.
Safari hii, mabondia hao wa uzito wa juu watarushiana makonde katika pambano litakalopigwa katika Uwanja wa Wembley.
Usky anashikilia mikanda mitatu ya WBA, WBO na WBC, wakati Dubois ni bingwa wa IBF.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img