Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio muhimu kinachopima thamani ya jumla ya bidhaa na huduma zinazozalishwa katika taifa kwa kipindi cha...
Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...
*Ahamasisha ushirika wa wakulima
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2025, ametoa maagizo sita kwa wadau wa sekta ya kilimo nchini,...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Timu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya leo kutoka suluhu na Stellebosch katika mchezo wa...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Mashindano ya kuogelea ya Klabu Bingwa Taifa yameanza huku uongozi wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), ukiwa na matumaini makubwa ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dk. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaoendelea baina ya Mahakama na Wakala wa Usalama na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amesema katika kuimarisha sekta ya hifadhi na...
Na Ramadhan Hassan, Gazetni-Dodoma
SERIKALI imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26, ambavyo vinakusudia...
*Asema serikali zote mbili zimedhamiria kufanya mageuzi sekta ya michezo
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango...