31.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

GGML inavyotumia teknolojia kuigeuza Geita kuwa ya kijani

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SHUGHULI za uchimbaji madini hutakiwa kwenda sambamba na urejeshaji mazingira ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuharibiwa na shughuli hizo...

Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Urithi wa Asili wa Tanzania

*Mchango wa Mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili watajwa Na Faraja Masinde-Aliyekuwa Mang'ula Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa, mojawapo ya hifadhi za asili zinazoonekana kuvutia...

Dk. Biteko: Mazingira ni kila kitu, tekelezeni majukumu yenu

Na Mwandishi Gazetini, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa Idara na Vitengo vya Mazingira katika wizara na...

Dk. Mpango akerwa na uchafu soko la Ilala

*Atoa maagizo Dawasa kutoa maji yote machafu yaliyoatuama kwenye mifereji Na Grace Mwakalinga, Gazetini MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ametoa muda wa wiki moja kwa...

Serikali kuzindua sera ya Taifa Uchumi wa Buluu

Na Nora Damian, Gazetini Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Juni 5, mwaka huu wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku...

Ndejembi atembelea Kiwanda cha Mtibwa, aitaka OSHA kukamilisha uchunguzi wa ajali

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ametembelea kiwanda cha kuzalisha sukari cha...

Chart| Huduma za Mahakama kwa watoto Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, ametangaza mafanikio makubwa katika sekta ya ustawi wa...

Visual| Mabadiliko Sheria ya Madini yanavyowagusa Watanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kufanyika kwa Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania...

IWPG Global Region 2, meets Ethiopian EWDNA representative

*Discussed business agreement with EWDNA organization By Our Correspondent The Ethiopian delegation of the International Women's Peace Group Global Region 2 (IWPG, Regional Director Seo-yeon Lee)...

Colombia ‘The 5th International Loving Peace Art Competition’ Holding an exhibition of award-winning works

*The 6th ‘International Loving Peace Art Competition’ was successfully held in Kali and Bogota By Our Correspondent The International Women's Peace Group Global Region 2 (IWPG,...

Kili Challenge 2024 yanzinduliwa, mafanikio yake yatajwa

*TACAIDS yawashukuru wadau wanaoungana na serikali katika jitihada za kudhibiti maambukizi ya VVU Na Nadhifa Omar, TACAIDS Kampeni maarufu ya kuchangisha fedha za UKIMWI ya Kili...

Visual| Hali ya dawa za kulevya nchini mwaka 2023

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuwa unaongoza kwa kukamatwa dawa za kulevya na kwamba maeneo makubwa ya starehe (klabu) na...

Recent articles

spot_img