Na Malima Lubasha, Gazetini
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Hope for Girls and Women in Tanzania la wilayani Serengeti mkoani Mara linahifadhi wasichana 171 katika...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali inaendelea na uratibu wa shughuli mbalimbali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka mlima Hanang...
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
Watoto zaidi ya 2,000 wameandikishwa kujiunga na darasa la kwanza kwa Mwaka 2024 ambao ni kati ya umri wa miaka sita...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwenyekiti wa Umoja wa anawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongoza na kundi la wanawake wa Jumuiya hiyo kwenda kukabidhi zawadi kwa mama aliyejifungua mara...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema misaada yote inayotolewa na wadau mbalimbali itawafikia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imeendelea kupokea misaada mbalimbali kutoka kwenye taasisi za umma na binafsi likiwemo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali ya Tanzania imeahidi kushirikiana na Asasi ya Kimataifa ya Amani ya Wanawake(IWPG) yenye Makao Makuu yake nchini Korea Kusini katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Gazetini imekufanyia uchambuzi wa Taarifa fupi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa leo Desemba 5, 2023, kuhusu maendeleo...
*Nikutoka 556 mwaka 2016 hadi 104 mwaka jana
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
SERIKALI imeweza kupunguza idadi ya vifo vya mama mjamzito kutoka 556 kwa Mwaka 2016...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha shughuli za kihandisi nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...