18.3 C
New York

Liverpool yapanga kuibomoa Juventus

Published:

MERSEYSIDE, Uingereza

KLABU ya Liverpool inajipanga kumsajili beki wa Juventus ya Ligi Kuu nchini Itaia [Serie A], Pierre Kalulu.

Inaelezwa kuwa usajili wa beki mpya ni kipaumbele cha kocha Andoni Iraola baada ya Liverpool kuwa na mwenendo usioridhisha msimu huu wa 2026-27.

Kwa sasa, Chelsea wanaamini Kalulu anayecheza beki wa kulia anafaa zaidi kuliko Wesley wa AS Roma, ambaye pia amekuwa kwenye rada zao kwa muda mrefu.

Wakati mabosi wa Blues wakiwa na hesabu hizo, Juventus wao wanaendelea na jitihada za kumshawishi Kalulu akubali ofa yao ya mkataba mpya.

Kalulu raia wa Ufaransa, amekuwa na faida kubwa kwa Juventus kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi nyingi kwenye eneo la ulinzi. Ana mechi tano za timu ya taifa.

Related articles

Recent articles