28 C
Dar es Salaam

Jamii

IWPG Tanzania Branch, held a meeting with UMOA Representative Benezer David

The Tanzania Branch of the International Women's Peace Group (Branch Manager Pendo Addis Mwasakyeni) held an online meeting on February 16th, which was led...

Tumieni ubunifu kusaidia utatuzi wa Migongano ya Binadamu na Wanyamapori

Na Faraja Masinde, Gazetini-Bagamoyo Waandishi wa Habari nchini hususan wanaoandika habari zinazohusu mazingira wametakiwa kuongeza ubunifu ikiwamo kutumia nyenzo za kisasa ili kuweza kusaidia kutatua...

JET, GIZ zawanoa waandishi wa habari kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa ufadhili wa  Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) kwa niaba ya...

Visual| Shoroba 7 Tanzania zitakazomulikwa na mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii nchini, Tanzania ina jumla ya shoroba 61 ambapo 41 zipo hatarini kutoweka kutokana...

Juhudi za pamoja zinahitajika kudhibiti biashara haramu ya viumbe pori

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu zinaonyesha kuwa biashara haramu ya viumbe pori inashika nafasi ya nne katika kundi la biashara haramu duniani ikitangaliwa na ile...

Baraza la Wafanyakazi TACAIDS lafanyika na kupata viongozi wapya

Na Nadhifa Omar, TACAIDS Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Jerome Kamwela, ameongoza kikao cha Baraza la wafanyakazi la Tume...

TFS: Uvamizi maeneo ya hifadhi ni chanzo cha mabadiliko ya Tabianchi

*Wataalam waonya huku wakieleza inavyoathiri wanyama Na Faraja Masinde, Gazetini Mabadiliko ya Tabianchi ni tatizo linaliokabili Dunia katika karne hii ya 21 ambapo athari zake zimekuwa...

JET to train journalists on Combating Wildlife Crime reporting  

By Our Correspondent, Gazetini THE journalists Environmental Association of Tanzania (JET) has organized a two-day tailor-made training for journalists to furnish them with the sufficient...

JET kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimeandaa mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari za Mazingira kutoka...

IWPG Global Region 2 Initiates Peace Lecturers Training Education (PLTE) for Colombian Women

*PLTE 1st session with the theme ‘My Values and the Beginning of Peace La Región Global 2 del Grupo Internacional de Mujeres por la Paz...

Tanzania yajipanga kuwa ghala la chakula Duniani

Na Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, Dar Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Natu El-maamry Mwamba, ametoa wito kwa Wadau wa Maendeleo kushirikiana na Tanzania...

TACAIDS yakutana na Wadau kupitia rasimu tatu za uratibu wa afua za vijana balehe nchini

Na Nadhifa Omary, TACAIDS Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kwa kushirikiana na wadau wamekutana kupitia, kujadili na kuthibitisha rasimu tatu za uratibu wa afua za...

Recent articles

spot_img