30.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Tanzania yajipanga kuwa ghala la chakula Duniani

Na Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, Dar Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Natu El-maamry Mwamba, ametoa wito kwa Wadau wa Maendeleo kushirikiana na Tanzania...

TACAIDS yakutana na Wadau kupitia rasimu tatu za uratibu wa afua za vijana balehe nchini

Na Nadhifa Omary, TACAIDS Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kwa kushirikiana na wadau wamekutana kupitia, kujadili na kuthibitisha rasimu tatu za uratibu wa afua za...

Ujenzi kituo cha kupoza umeme GGML wafikia 95%

Na Mwandishi Wetu, Gazetini JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutoka Shirika la Umeme Tanzania...

IWPG Global Region 2 “Welcoming Event” for IWPG New overseas Members

*Presenting the role and vision of peace activities On January 27th, the Global Region 2 of the International Women's Peace Group (IWPG), led by Regional...

Visual| Changamoto lukuki TPA ikifikia ufanisi 2023

Na Faraja Masinde, Gazetini Ukosefu wa Magati yanayotosheleza ikiwamo miundombinu isiyotosheleza ya reli na barabara ni moja ya sababu zinazokwamisha bandari ya Dar es Salaam...

GGML yawaaga wanafunzi 50 waliopata mafunzo kazini, 15 waula

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga na kuwapatia vyeti wanafunzi 50 kutoka vyuo vikuu waliokuwa wanafanya kazi katika mgodi...

Makala| Mazingira bora ya uwekezaji yanaivutia AngloGold Ashanti kuwekeza zaidi Tanzania 

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KUTOKANA na mazingira mazuri ya uwekezaji yanayoendelea kuboreshwa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Kampuni AngloGold Ashanti imetangaza kuanzisha...

Visual| Siku 100 za mzozo Gaza

Mwandishi Wetu na Mashirika Leo Januari 14, 2024 zimetimia siku 100 tangu Kundi la Hamasi lilipoishambulia Israel Oktoba 7, 2023 na kusababisha mzozo mbaya katika...

Visual| Wafanyabiashara acheni kushinda na watoto sokoni-Serikali

Na Patricia Kimelemeta, Gazetini Desemba 2021 Serikali ilizindua Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) Desemba 2021 ikiwa na...

Visual| Ushamiri wa VVU Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini Ripoti mpya ya Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI nchini Tanzania inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka...

IWPG Global Region 2 Regional Director Seo-Yeon Lee, Exchange with ‘How Women Work’ global organization in Qatar

- Representative Evridiki Iliaki “I want to discuss a peace workshop for refugees” On the 5th of last month, the International Women's Peace Group (IWPG),...

Infographic| Tunachofahamu SIKU 74 za mzozo wa Israel-Gaza

Na Faraja Masinde, Gazetini -Kwa msaada wa mashirika mbalimbali ya habari Takriban watu 21,107 wameuwa wakiwamo watoto 7,802 wa Palestina tangu kuanza kwa mashambulizi ya Isarael...

Recent articles

spot_img