4.1 C
New York

Mo ajiondoa Bodi ya Wakurugenzi Simba,  Barbara Gonzalez arejea

Published:

Na Mwandishi Wetu, Gazetini

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ametangaza  kuachana na majukumu hayo na kumteua Crescentius Magori kuchukua nafasi hiyo, huku  CEO wa zamani  wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez akiteuli miongoni mwa wajumbe wa Bodi hiyo.

Mo ametangaza mabadiliko hay oleo ambapo wajumbe wengine wakiwa ni Hussein Kitta, Azim Dewji, Rashidi Shangazi, Swedi Nkwabi, Zully Chandoo na George Ruhanga.

Amesema ameamua  kuachana na majukumu hayo  kutokana na muda mwingi kuwa mbali na klabu hivyo ameona umuhimu wa kupata viongozi waliopo karibu na wanaoweza kushiriki shughuli za kila siku.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img