4.1 C
New York

Kiungo Moussa  Conte rasmi atambulishwa Yanga

Published:

Na Mwandishi Wetu

Mabingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania, Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Moussa Bala Conte kutoka klabu ya CS Saxfien ya Tunisia ambapo amesaini mkataba wa miaka mitatu.

Kiungo huyo aliyetambulishwa rasmi leo Julai 18,2025  na Wanajangwani hao, alikuwa akihusishwa pia kujiunga na Simba.

Conte  amekuwa na msimu mzuri akiwa na  timu yake ya CS Sfaxien, akitanjwa  kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo mshambuliaji au mchezeshaji.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img