1.4 C
New York

Visual| Ukosefu wa elimu unachochea ukatili Tanzania

Published:

Na Jackline Jerome, Gazetini

Asilimia 53 ya wanaume ambao hawana elimu wanaongoza kuwafanyia ukatili wenza wao.

Utafiti pia unaonyesha kuwa asilimia 42 ya wanawake waliowahi kuolewa wamewahi kukumbana na ukatili wa wenza wao ama kimwili au ukatili unaohusisha ngono.

Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) unaonyesha kuwa hali inaonyesha kuwa wanawake 3 kati ya 10 waliwahi kufanyiwa vitendo vya ukatili na wenza wao katika kipindi cha mwaka mmoja nyuma.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img