Na Catherine Sungura-TARURA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)zinaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la matukio ya wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bodi ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), imefanya ziara ya kukagua huduma za Hospitali zinazotolewa na Chuo hicho kwa wanafunzi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwandishi wa Habari, Tulinagwe Malopa, anayefanyakazi na Tovuti ya GAZETINI (www.gazetini.co.tz) jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Gazetini Communications ameng’ara katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Pamoja na jitihada za Serikali za kukabiliana na tatizo la upungufu wa miundombinu ya elimu katika shule ikiwamo kujenga majengo mapya...
Na Nadhifa Omary, Gazetini-Dodoma
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imehimiza wadau kutoa ushirikiano kwa maoni na mawazo yao chanya ambayo yataboresho mkakati wa ukusanyaji fedha...
*Wataalamu waeleza kuwa ni chanzo cha majanga makubwa matatu
*Serikali yatakiwa kuwa macho kuhakikisha wapunguza madhara
Na Faraja Masinde, Gazetini
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hadi sasa imefanikiwa kusajili...
Na Nora Damian, Gazetini
Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini.
Vifo 28 zimeripotiwa kutokea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa dhidi ya...
*Discussed specific avenue of participation with working-level officials
*Visited 88 UN Permanent Missions and met with 123 officials
*Promoted peace initiatives such as DPCW and Peace...