28.9 C
Dar es Salaam

Jamii

TARURA Rukwa yaboresha miundombinu ya barabara

Na Catherine Sungura-TARURA Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika...

Chart| Mwenendo wa wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)zinaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la matukio ya wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu...

Bodi ya Hospitali ya UDOM yavutiwa ujenzi wa jengo la vipimo vya mionzi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Bodi ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), imefanya ziara ya kukagua huduma za Hospitali zinazotolewa na Chuo hicho kwa wanafunzi...

Mwandishi Gazetini ang’ara tuzo za Merck Foundation

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwandishi wa Habari, Tulinagwe Malopa, anayefanyakazi na Tovuti ya GAZETINI (www.gazetini.co.tz) jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Gazetini Communications ameng’ara katika...

Chart| Miundombinu shuleni bado changamoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Pamoja na jitihada za Serikali za kukabiliana na tatizo la upungufu wa miundombinu ya elimu katika shule ikiwamo kujenga majengo mapya...

TACAIDS yawataka wadau kushiriki upatikanaji fedha za Mwitikio wa UKIMWI

Na Nadhifa Omary, Gazetini-Dodoma Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imehimiza wadau kutoa ushirikiano kwa maoni na mawazo yao chanya ambayo yataboresho mkakati wa ukusanyaji fedha...

Utafiti wafichua kemikali hatarishi iliyojificha katika plastiki zilizorejelezwa

*Wataalamu waeleza kuwa ni chanzo cha majanga makubwa matatu *Serikali yatakiwa kuwa macho kuhakikisha wapunguza madhara Na Faraja Masinde, Gazetini Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga...

NIDA ilipofikia utoaji wa vitambulisho vya Taifa

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hadi sasa imefanikiwa kusajili...

IWPG Global Region 2, signs an agreement with University Ministry of Africa Trust(UMOA)

On the 13th, Global Region 2 of the International Women's Peace Group (IWPG, Regional director Seoyeon Lee) held an online MOA signing ceremony to...

Mvua yaua watu 50, nyumba 1,000 zabomolewa

Na Nora Damian, Gazetini Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini. Vifo 28 zimeripotiwa kutokea...

Hali ya usimamizi wa usalama na afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa dhidi ya...

IWPG strengthens peace partnership with Uganda and Côte d’Ivoire during UN CSW68

*Discussed specific avenue of participation with working-level officials *Visited 88 UN Permanent Missions and met with 123 officials *Promoted peace initiatives such as DPCW and Peace...

Recent articles

spot_img