25.9 C
Dar es Salaam

Jamii

Visual| Ushamiri wa VVU Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini Ripoti mpya ya Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI nchini Tanzania inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka...

IWPG Global Region 2 Regional Director Seo-Yeon Lee, Exchange with ‘How Women Work’ global organization in Qatar

- Representative Evridiki Iliaki “I want to discuss a peace workshop for refugees” On the 5th of last month, the International Women's Peace Group (IWPG),...

Infographic| Tunachofahamu SIKU 74 za mzozo wa Israel-Gaza

Na Faraja Masinde, Gazetini -Kwa msaada wa mashirika mbalimbali ya habari Takriban watu 21,107 wameuwa wakiwamo watoto 7,802 wa Palestina tangu kuanza kwa mashambulizi ya Isarael...

“Tunataka wasichana wafikie ndoto zao maishani”

Na Malima Lubasha, Gazetini SHIRIKA lisilo la kiserikali la Hope for Girls and Women in Tanzania la wilayani Serengeti mkoani Mara linahifadhi wasichana 171 katika...

Visual| Watoto walivyoathirika na mafuriko Hanang

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali inaendelea na uratibu wa shughuli mbalimbali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka mlima Hanang...

Dar yaandikisha Watoto 2,000 kuanza darasa la kwanza mwaka 2024

Na Patricia Kimelemeta, Gazetini Watoto zaidi ya 2,000 wameandikishwa kujiunga na darasa la kwanza kwa Mwaka 2024 ambao ni kati ya umri wa miaka sita...

Chatanda aongoza wanawake kutoa msaada kwa mama aliyejifungua baada yakutolewa kwenye tope Hanang

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwenyekiti wa Umoja wa anawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongoza na kundi la wanawake wa Jumuiya hiyo kwenda kukabidhi zawadi kwa mama aliyejifungua mara...

Huduma ya umeme yarejea Katesh, Wizara yatoa lita 14,500 za petroli, dizeli

Na Zuena Msuya Manyara Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema Wizara ya...

Wananchi Katesh, waishukuru Serikali kwa vifaa vya msaada wa kibinadamu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema misaada yote inayotolewa na wadau mbalimbali itawafikia...

Visual| Serikali yaendelea kupokea misaada Hanang

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali imeendelea kupokea misaada mbalimbali kutoka kwenye taasisi za umma na binafsi likiwemo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja...

Serikali yaahidi kushirikiana na IWPG kutokomeza ukatili

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali ya Tanzania imeahidi kushirikiana na Asasi ya Kimataifa ya Amani ya Wanawake(IWPG) yenye Makao Makuu yake nchini Korea Kusini katika...

Visual|Maendeleo ya uokoaji wa waathirika Hanang

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Gazetini imekufanyia uchambuzi wa Taarifa fupi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa leo Desemba 5, 2023, kuhusu maendeleo...

Recent articles

spot_img