27.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Chart| Uchumi wa Tanzania wazidi kupaa mwaka 2023

Na Jackline Jerome, Gazetini Kulingana na takwimu mpya zilizotolewa mwaka huu na Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF), pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya...

‘Acheni kutumia chupa kunyonyesha watoto’

Na Faraja Masinde, Gazetini Wataalamu wa lishe wameshauri akina mama wanaonyonyesha kuacha kutumia chupa zinazouzwa maduka ya dawa kunyonyeshea watoto kwani hatua hiyo inachochea watoto...

Mtoto wa miezi miwili anyweshwa sumu ya kuulia wadudu Serengeti

Na Malima Lubasha, Gazetini NI unyama! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Kenokwe kata ya Mosongo wilayani Serengeti mkoani...

Chart| Tembo wanavyoitesa Serikali Same

*Wadau wasema utafiti wa kina unahitajika ili kupata suluhu Na Jackline Jerome, Gazetini Vijiji 25 wilayani Same mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania yamegauka kuwa maskani ya...

Infographic| Tunachofahamu kuhusu Mji wa Serikali

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Takwimu zinaeleza kuwa miji inakadiriwa kuzalisha asilimia 80 ya ukuaji wote wa uchumi. Hivyo hakuna shaka kuwa Mji wa Serikali nchini Tanzania ambao...

Visual| Fahamu idadi ya Watoto Tanzania

*Serikali iongeze nguvu vijijini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya Watoto nchini Tanzania ni...

Visual| Idadi ya watu Tanzania kwa umri

Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...

Mwandishi Gazetini kuwania tuzo EJAT

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwandishi Faraja Masinde kutoka tovuti ya www.gazetini.co.tz inayo chini ya Gazetini Communications ni kati ya waandishi wa habari 91 waliopitishwa...

Visual| Daraja la Busisi kutoka dakika 120 hadi 4

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Kawaida daraja hujengwa kwa kusudi la kuwa na njia ya kupitia juu ya pengo au kizuizi. Licha ya hivyo daraja...

‘Viumbe vamizi vinatishia ustawi sekta ya utalii nchini’

Na Faraja Masinde, Gazetini Changamoto ya viumbe vamizi katika nyanja ya uhifadhi imetajwa kama moja ya sababu inayodhorotesha ustawi wa sekta ya utalii na maendeleo...

GGML yatoa elimu ya haki, wajibu maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau mbalimbali likiwemo Jeshi la...

Janga la UKIMWI linavyoongeza watoto yatima Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF) Tanzania, zinaonyesha kuwa watoto Milioni 1.1 wenye...

Recent articles

spot_img