26.7 C
Dar es Salaam

About Gazetini

Kila siku maelfu ya data zinatolewa nchini Tanzania na Duniani kwa ujumla na kufanya sehemu kubwa ya watu kuishindwa kupata tafsiri ya haraka.

Gazetini Communication ni kati ya wachapishaji wa mtandaoni wanaokua kwa kasi nchini Tanzania na sehemu nyingine duniani, ikilenga mada zinazohusu jamii, elimu, uchumi na nyanja nyingine.

Hayo yote yanafanyika kwa kuangazia picha kubwa zaidi kupitia taswira au sanifu(Visual/Infographics) zinazoendeshwa na data, lengo likiwa ni lilelile la kusaidia jamii yetu na kurahisisha kufahamu yote yaliyofichika ndani au nyuma ya data hizo ambazo huwa ngumu kueleweka kwa wengi.

Meet the team

Faraja Masinde

Founder & Editor in Chief

Hassan Daudi

Managing Editor

Jacqueline Mushi

Writer, Children's & Society

Winfrida Mtoi

Writer, General & Society

Erick Mugisha

Writer

Ephraim Mtawa

Photography