3.6 C
New York

Tuzo za TFF za msimu wa 2024/25 zayeyuka

Published:

Na Mwandishi Wetu,Gazetini

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa ya kuahirisha hafla ya utoaji tuzo za msimu  wa 2024/25 ziliyopangwa kufanyika Desemba 5, 2025, jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo,  kuahirishwa kumetokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa waandaaji ambao ni shirikisho hilo.

“Hatua hii imetokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kwa sasa. Mara tarehe mpya itakapopangwa mtafahamishwa mara moja”. Taarifa hiyo imeeleza.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img