Na Mwandhishi Wetu, Gazetini
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,...
Na Mwandishi wetu
Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema amesema kuwa mwaka huu Serikali inatarajia kujenga mradi mkubwa wa...
*Tani 14 kemikali bashirifu zazuiwa kuingia nchini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bodi ya Uwekezaji na Fedha ya Watumishi Housing Investment (WHI) imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa uhamisho ni haki...
Kanisa la Shincheonji la Yesu nchini Ufaransa limekanusha vikali taarifa iliyochapishwa na gazeti la Le Parisien Aprili 7, 2025, likiitaja kama yenye upendeleo, upotoshaji...
Na Esther Mnyika, Gazetini
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazojulikana kama Samia Kalamu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Imeelezwa kuwa urejelezwaji wa betri chakavu bila kuzingatia miongozo ya kimazingira ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira na huweza kusababisha...