25.5 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Kofi Olomide aaga ukapera, amuoa Cindy

KINSHASA, DRC BAADA ya miaka 20 ya kuwa kwenye mahusiano, hatimaye lejendari wa muziki nchini DRC, Koffi Olomide, amefunga ndoa na Cindy Le Coeur Koffi ana...

Museveni awapa somo vijana Uganda

KAMPALA, Uganda RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amewataka vijana nchini humo kuacha kupoteza muda na nguvu kubwa kwenye ushabiki wa soka la Ulaya. Na badala yake,...

Hezbollah waingilia kati kuisaidia Iran

TEHRAN, Iran WAPIGANAJI wa Kundi linalohusishwa na ugaidi la Hezbollah nchini Lebabon wamerushiana risasi na makombora na wanajeshi wa Israel. Hiyo ni baada ya Israel na...

Yanga, Simba zafikisha sare ya 44 ‘derby’ ya Kariakoo

Na mwandishi wetu, Gazetini ACHANA na tambo za mashabiki, sare ya kutokufungana ndiyo iliyohitimisha dakika 90 za mchezo wa 'derby' ya Kariakoo kati ya wenyeji...

Ayatollah Ali Khamenei; Maisha, mamlaka na migogoro ya Iran

TEHRAN, Iran HABARI kubwa kwa sasa katika siasa za ulimwengu ni hatua ya Marekani na Israel kuishambulia kwa mabomu nchi ya Iran. Kubwa zaidi, ni mashambulizi...

Iran yapata pigo jingine, rais auawa

TEHRAN, Iran ALIYEWAHI kuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, ameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya ushirika kati Marekani na Israel. Profesa Ahmadinejad alikuwa Rais wa...

Unabeti kama starehe au na wewe umeshaigeuza ajira?

Na mwandishi wetu, Gazetini SHIDA kubwa tuliyonayo ngozi nyeusi ni kushindwa kutofautisha kati ya jambo la starehe na lile la lazima/muhimu. Hao ndipo tunapofeli. Huwa tunaanza...

A-Z mashambulizi ya Marekani, Israel kwa Iran

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI na mshirika wake mkubwa, Israel, zimeanzisha mashambulizi makubwa ya kivita dhidi ya Iran. Milipuko ya mabomu imesikika katika miji mingi ya Iran,...

Anguko la Leicester City kutoka ubingwa EPL hadi ‘mchangani’

LONDON, Uingereza MIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliushangaza ulimwengu wa soka walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL). Walifanya hivyo msimu wa 2015-16. Kwa sasa,...

Marekani, Israel zamuua Ali Khamenei

TEHRAN, Iran NI rasmi sasa, kwamba kiongozi wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameuawa na vikosi vya Marekani vinavyoshirikiana na Israel. Marekani na washirika wake, Israel, wameanzisha...

Mtoto wa Beckham ‘atatoboa’ kimuziki?

MIAMI, Marekani ANAITWA Cruz Beckham. Ni mtoto wa mwisho wa kiume wa staa wa soka, David Beckham. Kwake, soka halijawa njia sahihi, na badala yake...

Man City wapishana na Mbappe

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, huenda asicheze dhidi ya Manchester City katika mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitakwaana...