Na Faraja Masinde, Gazetini
TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Tanzania, kama zilivyo nchi zingine za Afrika, imeendelea kugubikwa na changamoto ya uhaba wa ajira, hasa kwa kundi la vijana na...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Licha ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kudhibiti Kifua Kikuu(TB) nchini ikiwamo kutoa matibabu bure lakini bado takwimu zinaonyesha kwamba...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Kwa mujibu wa Ripoti ya Makadirio ya Kati ya Umoja wa Mataifa(UN's-Mid Year) Mwaka 2023 Dunia imefikisha watu bilioni 8. Idadi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii nchini zinachambua kuwa Sekta ya Utalii inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa huku...
Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema pia hupata ujauzito mapema, hali ambayo huwaweka...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu za Wizara ya Nishati nchini zinaonyesha kuwa watu 33,000 wanafariki dunia kila mwaka nchini kutokana na kupikia mazingira yenye moshi...
*Serikali inakumbushwa kuchukua hatua ikiwamo kubadili sera*Wazazi nao watakiwa kutokubaki nyuma
Na Faraja Masinde, Gazetini
Ni zaidi ya miaka 40 sasa imepita tangu janga la Virusi...
Na, Anoth Paul, Gazetini
KUMEKUWA na kusuasua kwa namna utekelezwaji wa maagizo ya Kamati za Bunge unavyosuasua kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi...
Na Anoth Paul, Gazetini
Ajali zitokanazo na pikipiki zimesababisha idadi kubwa ya wagonjwa katika Taasisi ya Mifupa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Asilimia 70...
Na Tulinagwe Malopa, Gazetini
“Acha…Si unaumwa wewe? Sina pesa mimi ya kukukimbiza hospitali sahivi,” Ni maneno ya mama anayemkataza mtoto wake kufanya michezo ya hatari...