*Atahadharisha kutokubadili matumizi ya eneo la uhifadhi
*JET kujenga wigo zaidi kwa waandishi
Na Faraja Masinde, Gazetini-Bagamoyo
Tanzania ni kati ya nchi chache duniani zilizobarikiwa kuwa na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (Geita Boys)...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema mojawapo ya siri iliyouwezesha mgodi huo kuongoza nchini kwa kuongeza idadi kubwa ya...
*Expectations for national-level peace education implementation with the registration of the Tanzania Branch
By Our Correspondent, Gazetini
Tanzania Branch of Global region 2 (IWPG, Regional director,...
Na Faraja Masinde, Gazetini-Bagamoyo
Waandishi wa Habari nchini hususan wanaoandika habari zinazohusu mazingira wametakiwa kuongeza ubunifu ikiwamo kutumia nyenzo za kisasa ili kuweza kusaidia kutatua...
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo
Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) kwa niaba ya...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu zinaonyesha kuwa biashara haramu ya viumbe pori inashika nafasi ya nne katika kundi la biashara haramu duniani ikitangaliwa na ile...
*Wanafunzi 40 kufaidika na mpango huo
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya...
*Wataalam waonya huku wakieleza inavyoathiri wanyama
Na Faraja Masinde, Gazetini
Mabadiliko ya Tabianchi ni tatizo linaliokabili Dunia katika karne hii ya 21 ambapo athari zake zimekuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimeandaa mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari za Mazingira kutoka...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KUTOKANA na mazingira mazuri ya uwekezaji yanayoendelea kuboreshwa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Kampuni AngloGold Ashanti imetangaza kuanzisha...