Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe zinaonyesha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Wataalamu wa lishe wameshauri akina mama wanaonyonyesha kuacha kutumia chupa zinazouzwa maduka ya dawa kunyonyeshea watoto kwani hatua hiyo inachochea watoto...
*...yatoa msaada wa madawati 8,823
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kutimiza dhamira ya kuimarisha sekta ya elimu na kuwezesha mazingira ya utoaji elimu nchini kuwa ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama amewapongeza watoto Abel Mussa na Rebbeca Damian wenye...
Na Malima Lubasha, Gazetini
NI unyama! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Kenokwe kata ya Mosongo wilayani Serengeti mkoani...
*Serikali iongeze nguvu vijijini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya Watoto nchini Tanzania ni...
Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau mbalimbali likiwemo Jeshi la...
Na Hassan Daudi, Gazetini
Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF) Tanzania, zinaonyesha kuwa watoto Milioni 1.1 wenye...