Na Nora Damian, Gazetini
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewaelekeza watumishi wa mahakama kuisoma ripoti ya Tume ya Haki Jinai ili kuimarisha ulinzi...
Na Faraja Masinde, Gazetini-Pwani
Katika kuhakikisha Taifa linakabiliana na mabadiliko ya Tabianchi Watanzania wametakiwa kupanda miti kwa wingi hasa wanaposherehekea siku zao za kuzaliwa.
Hayo yamesemwa na Brigedia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Juni 16, 2024, Tanzania inaungana na nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Wakati wa maandalizi...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini
KATI ya mikoa 28 iliyopo nchini, mikoa mitano ndio yenye vituo vinavyotoa huduma ya utengamo wa afya ya akili ikiwemo Dodoma...
*....yadhamiria kupunguza zaidi
Na Faraja Masinde, Gazetini
Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 7 hadi kufikia asilimia...
*Drawing love for humanity in Gwangju, the city of democracy, human rights, and peaceA message of peace to friends suffering from war: “Please don’t...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kwa miaka ya nyuma wananchi walikuwa hawaoni umuhimu wa uhifadhi wa mazingira na miongoni mwa sababu za wao kufanya hivyo ilikuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, mkoani Geita, amewataka...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali ya Tanzania imeanzisha mpango wa matumizi bora ya ardhi katika maeneo yanayopakana na hifadhi, ikiwa ni juhudi za kuondoa migongano...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Ushoroba wa Nyerere-Selous-Udzungwa ni eneo muhimu la kijiografia na kiikolojia nchini Tanzania. Eneo hili linaunganisha Hifadhi ya Taifa ya Nyerere (Selous)...
Na Mwandishi Gazetini, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa Idara na Vitengo vya Mazingira katika wizara na...