25.6 C
Dar es Salaam

Jamii

MAP| Wananchi Morogoro wanavyopambana na Malaria kwa watoto

*Ni mfereji uliopewa jina la ‘Aunty Malaria’ kwasababu ya uzalishaji wa mbu katika makazi yaliyo karibu *Pamoja na ugumu wa mazingira hayo, wananchi wanajitahidi kufanya...

Makala| Josephine; Shujaa anayeleta tabasamu kwa watoto wenye ulemavu Morogoro

*Zaidi ya watoto 600 wamenufaika na mpango huu *Baadhi ya wazazi waliona nimegeuza watoto wao kitega uchumi Na Tulinagwe Malopa, Gazetini "Ilikuwa ni baada ya kujikuta...

Visual| Tuwekeze kwenye elimu kudhibiti mila hatarishi, VVU

Na Faraja Masinde, Gazetini "Lakini siyo mila na desturi ziangaliwe tu, bali ziachwe kabisa kwani ni hatarishi na zinachochea maambukizi ya virusi vya ukimwi, mfano...

Unyanyapaa unavyowapitisha WAVIU katika mstari wa kifo

Na Faraja Masinde, Gazetini "Nilipata maambukizi ya VVU nikiwa na miaka 24, baada ya kupata mwanaume mwenye pesa sana lakini kumbe alikuwa na maambukizi, ndugu...

Visual| Geita inavyoitikia Uzazi wa Mpango

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na Kagera upande wa Magharibi, Shinyanga upande wa Kusini na Mwanza...

Visual| Tanzania inavyodhibiti Polio

Na Faraja Masinde, Gazetini Hadi sasa Tanzania imefanikiwa kutoa chanjo ya Polio kwa Watoto 27,952,164 wenye umri chini ya miaka mitano. Idadi hiyo ni baada ya...

Visual| Idadi ya Watoto Tanzania kabla ya Sensa 2022

Na Faraja Masinde, Gazetini Agosti 23, mwaka huu Tanzania inatarajia kufanya Sensa ya Watu na Makazi ikiwa ni sensa ya sita kufanyika tangu Muungano wa...

Visual| Ukosefu wa elimu unachochea ukatili Tanzania

Na Jackline Jerome, Gazetini Asilimia 53 ya wanaume ambao hawana elimu wanaongoza kuwafanyia ukatili wenza wao. Utafiti pia unaonyesha kuwa asilimia 42 ya wanawake waliowahi kuolewa...

MAP| Usajili wa Watoto Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazeti Kwa miaka ya nyuma suala la usajili wa watoto na kupata vyeti vya kuzaliwa ilikuwa siyo kipaumbele cha wazazi walio wengi,...

Visual| Umaskini unavyochochea ndoa za utotoni Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini "Sina furaha kabisa na ndoa hii, natamani kutoka lakini kinachonibakisha ni watoto wangu wawili, sitamani tena kuzaa mtoto mwingine nasubiri watoto...

Visual| Asilimia 26 ya watoto waliozaliwa miaka mitano kabla ya 2010 hawakutarajiwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kwa mujibu wa Utatifi wa Demografia na Afya Tanzania wa mwaka 2010 ulikadiria kuwa asilimia 26 ya watoto waliozaliwa katika kipindi...

Visual| Tunachofahamu kuhusu chanjo ya Uviko-19 Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Hadi kufikia Julai 18, 2022 jumla ya wananchi milioni 11.5 sawa na asilimia 37 ya watu wenye umri wa miaka 18...

Recent articles

spot_img