Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa...
Na ,wandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia...
*Wanawake wapewa neno
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo...
*Madaktari watoa ujumbe kwa jamii
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Ijumaa Septemba 22, 2023 wamejitokeza katika maonesho ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAKAMU Rais wa kampuni ya AngloGold Ashanti Tanzania-GGML anayeshughulikia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo leo Ijumaa ametembelea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 150 kudhamini...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI imekanusha uvumi kwamba Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewa-blacklist vijana ambao wamesitishiwa ajira zao na mgodi huo kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na machapisho mbalimbali, Bundi ni miongoni mwa ndege ambae huishi kutegemea nyama kama chakula chake kikuu.
Bundi hutafuta mawindo yake nyakati...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza serikali kwa kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini ikiwemo kuhakikisha kwamba kunakuwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali iko katika mbioni kuunganisha Shoroba mbili za Derema na Amani Nilo zinazopatikana ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia...
Na Faraja Masinde, Muheza
“Hata sisi walimu tumejifunza kwamba tunapofundisha hatutakiwi kutumia dakika zote 45 darasani hapana, kuna muda wa kuwatoa wanafunzi nje ya darasa...